Uwezo
Wa Kuota
Wa kuingia
Kwa ndoto
Pole pole
Karibu bila mwendo
Unaniangalia
Unaniweza
Na macho matulivu
Na kuniamini
Kwa roho wa
Moyo wako
Unanichanganya
Kwa upole
Kuniwacha kwa
Mshangao
Kutembea miguu tupu
Kupitia kichwani changu